ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 4, 2010

Image
Mwenyekiti wa Chama cha Democratic(DP), Christopher Mtikila, akiwa katika gari la wakili wake, Penitho Mandele, baada ya kuachiwa katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo Dar es Salaam jana alipofutiwa shitaka la kifungo cha miezi sita baada ya kulipa deni la Sh.Milioni 9.8 alizokuwa anadaiwa na Pascazia Zelamula Mattete.(Picha na Yusuf Badi).

No comments: