ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 4, 2010

Shukrani Mpwa!!!

Mimi naitwa Musa Shedafa,napenda kutoa shukrani zangu za dhati,mpwa kwa kazi yako nzuri ya kutuunganisha sisi Watanzania tuishio DMV,kusema ukweli kazi yako ni ngumu mno lakini wewe bila kujali ugumu wa kazi hii umejitolea kutuunganisha Wabongo kwa kujitolea kutuma TXT MSG bila kumlipisha mtu hata senti,uwe unamjua au humjui wewe hutuma tu na sasa umeamua kuanzisha blog,kwa lengo hilo hilo mimi binafsi nimeguswa sana na kazi yako nzuri ya kutuhabarisha Wabongo nimeonelea si vizuri japo kusema ASANTE MPWA,MWENYEZI MUNGU AKUPE WINGI WA REHEMA ZAKE,AMINA
--------------------------------------------------------
Nashukuru sana Shedafa asante sana mkuu tupo pamoja,MPWA

No comments: