![]() |
| Wananchi wa Kijiji cha Miembeni Wilaya ya Nachingwea wakimzunguka Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. Gharib Bilal, baada ya kutanda barabarani na kuwaomba viongozi wa msafara kumruhusu kushuka ili wamuone na kusalimiana naye, wakati msafara huo ulipofika mpakani mwa wilaya ya Nanchingwea ukitokea Wilayani Liwale. (Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO). |

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake