![]() |
| Hili ni moja kati ya magari yanayotumiwa na muungano wa vyama vya upinzani isipokuwa Chadema, ambavyo vimemsimamisha mgombea mmoja wa ubunge, Mariam Mwakingwe wa chama cha NCCR- Mageuzi likiwa limesheheni bendera za vyama hivyo mjini Iringa (Picha na Frank Leonard). |

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake