
Nature akiwa kazini.
Mkali wa miondoko ya Bongo Fleva, Juma Nature (Sir Nature), akipagawisha mashabiki waliohuduria onyesho la “Vuta-Nikuvute” lililofanyika usiku wa kuamkia leo Ukumbi wa Hoteli ya Travertine jijini Dar es Salaam.…Akiwa amebebwa na mashabiki.
Mkongwe wa muziki wa mwambao, Shakira Said, naye alionyesha ufundi wake katika onyesho hilo.
Mashabiki wakichizika kwa raha zao.
PICHA: RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY



No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake