
Baadhi wa wanafunzi wakiwa nje ya jingo hilo.
KUNDI la wanafunzi waliofanya vizuri katika mtihani wa kujiunga na vyuo mbalimbali vya serikali na kupata alama za juu leo wamefurika nje ya Jengo la Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) lililopo Mikocheni jijini Dar es Salaam wakipinga uamuzi wa wenzao waliopata alama ndogo kupatiwa nafasi za kujiunga na vyuo vya serikali na wao kukosa nafasi na kudai uamuzi huo ni wa kuwaonea.Askari wa jengo hilo akiinyoosha mkono kuwataka wanafunzi hao kukaa mbali na eneo hilo, amri yaliyokataa kuitii.
Muuza “lamba-lamba” (ice cream) akiwa kwenye mkusanyiko huo kukata kiu ya ‘madenti’ hao.
PICHA: RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY


No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake