Ndugu zetu Watanzania tuishio Washington Dc,Va,Baltmore kama kawaida yetu na asili yetu miaka yote unapotokea msiba
Upendo na mshikamano ni jadi yetu,sasa wakati umefika wa kuonyesha upendo kwa mwezetu aliyetutangulia mbele ya haki.
Hivyo tunapenda kuwatangazia kwamba kutakuwa na misa ya kumuaga ndugu yetu mpendwa Marehemu Andrew Igala ambae
alitutoka wiki iliyopita,pia tunapenda kuwashukuru kwa wote waliochangia......misa ya marehemu itafanyika siku ya jmapili Sept 5
saa kumi jioni na mwili wa marehemu utasafirishwa kwenda nyumbani Tanzania Sept 7 siku ya Jnne
misa itakuwa
(UMI) UNIVERSAL MOTUARY INC
411KENNEDY SR NW
WASHINGTON DC
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA...
MCH KIDIOLO CELL 202 438 -6753
DADA EVA SEQUEIRA TELL 301 - 920 - 6218
ASANTE
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake