ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 3, 2010

        TANGAZO LA MSIBA

Ndugu zetu Watanzania tuishio Washington Dc,Va,Baltmore kama kawaida yetu na asili yetu miaka yote unapotokea msiba
Upendo na mshikamano ni jadi yetu,sasa wakati umefika wa kuonyesha upendo kwa mwezetu  aliyetutangulia mbele ya haki.
Hivyo tunapenda kuwatangazia kwamba kutakuwa na misa ya kumuaga ndugu yetu mpendwa Marehemu  Andrew Igala ambae 
alitutoka wiki iliyopita,pia tunapenda kuwashukuru kwa wote waliochangia......misa ya marehemu itafanyika siku ya jmapili Sept 5
saa kumi jioni na mwili wa marehemu utasafirishwa kwenda nyumbani Tanzania  Sept 7 siku ya Jnne

misa itakuwa
(UMI) UNIVERSAL MOTUARY INC
411KENNEDY  SR NW
WASHINGTON  DC

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA...
MCH KIDIOLO  CELL  202  438  -6753
DADA  EVA SEQUEIRA  TELL  301  - 920  - 6218


ASANTE

No comments: