Picha za Ju, Mama Munanka akimkaribisha Mh:Balozi ndani ya Jengo la Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani,Washington,DC.picha ya pili naTatu kutoka Juu,anaeonekana kwa nyuma ni Afisa Ubalozi,Suleiman Saleh
Juu na Chini ni wafanyakazi Ofisi ya Ubalozi wakisubiri kumkaribisha Mh:Balozi kwenye FUTARI
Juu na chini ni maanjumati yaliyotayarishwa maalum kwa ajili ya FUTARI ya Mh: Balozi
Juu na chini ni Mh:Balozi na wafanyakazi wa Ubalozi wakijumuika pamoja kwenye FUTARI na wafanyakazi wengine wakipata U-kodak moment
Sheh Yusuf akimuelekeza Mh:Balozi aina ya maanjumati
Wafanyakazi wa Ubalozi wakisubili zamu yao ya kujumuika kwenye FUTARI hiyo
Mama Munanka nae akiangalia maanjumati tayari kwa kufuturu
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake