ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 22, 2010

DC waanzisha timu ya Pool inayoitwa DC pool Club,na wanatafuta mechi na timu za mkoani kama zipo

Juu na Chini ni Wachezaji wa DC pool Club wakichuana vikali chini ya kocha mchezaji Rasheed Mkakile wa kwanza kulia picha ya juu,wachezaji wengine ni John Sitta,Edward Taji,George Mwaswaliba,Benjamin Mwaipaja,Mashaka Bilal,Jacob Merere,Emmanuel Nnko na Ayo kutoka magharibi

No comments: