ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 31, 2010

DKT SALIM AHMED SALIM APIGA KURA YAKE MSASANI!

DKT. Salim Ahmed Salim, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipiga kura leo jijini Dar es salaam ya kumchagua Rais , Mbunge na Diwani. Dkt Salim aliwasili katika Eneo la Soko la Samaki Msasani saa 12.50 Asubuhi na kufanikiwa kupiga kura katika Kituo B 3 cha Soko la Samaki Msasani saa 1.30 Asubuhi. (Picha na Vicent Tiganya)
DKT. Salim Ahmed Salim, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimkabidhi Kitambulisho cha kupigia kura kwa Karani leo jijini Dar es salaam ili aweze kupewa karatasi kwa ajili ya kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Dkt Salim aliwasili katika Eneo la Soko la Samaki Msasani saa 12.50 Asubuhi na kufanikiwa kupiga kura katika Kituo B 3 cha Soko la Samaki Msasani saa 1.30 Asubuhi.

PICHA KWA HISANI YA FULL SHANGWE

No comments: