
Khadija Mwanamboka akijitambulisha na kutoa shukrani kwa wote walio hudhulia kuona Vivazi vya Tanzania Mitindo House

Juu ni Model akipita na Shati la JK mbele ya mashabiki wa mitindo wa NJ na Chini ni Models walioshiriki na vivazi mbali mbali kutoka Tanzania Mitindo House











Mashabiki wa mitindo wakiwa makini kabisa wakiangalia mavazi ya Tanzania Mitindo House wakiwemo Wabongo waishio New Jersey,New York na Vitongoji
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake