Sunday, October 10, 2010

Ukiwa New York Lazima Ufanane Kama wao

Juu na chini Ustadi Ebra Nyagaly alivyopitisha buldoza kwa ustadi mkubwa kichwani kwa Mpwa,ujuzi huu anao zaidi ya miaka mitano,kama na wewe unahitaji buldoza kwa bei nafuu tena atakuja popote pale ulipo hasa kwa wakazi wa New York,New Jersey na vitongoji vyake.
Mpigie simu 347 475 4313
 

2 comments:

  1. Wakwetu!
    Umeonekana maridadi kweli kweli.
    Musoma connection.

    ReplyDelete
  2. mpwa jamani umeonekana kijana

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake