Mpwa Kushoto akiwa kwenye U-kodak moment na Henry Kente (kati)akiwa pamoja na Adam Mrisho wa Baltimore,MD,Mpwa nimekuja kupata U-kodak na kumuunga mkono Khadija Mwanamboka kwenye FASHIONABLE DEVELOPMENT itakayofanyika leo Oct 10 at
115 Alexander St,
Princeton,NJ,08540
saa 10 jioni(4:00pm)
Wabongo NJ,NY na vitongoji vyake naomba tujitokeze kwa wingi tumuunge mkono dada yetu
Karibuni sana

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake