
Katibu Mkuu wa Chama cha Wasioona Tanzania bwana.Emanuel Saimon akichapa risala ya chama chake katika maonesho ya maadhimisho ya siku ya fimbo nyeupe yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shycom-Shimyanga.

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga bi. Amina Masenza akiangalia fundi cherehani bw. Abdala toka wilaya ya Temeke akikata nguo.

Fundi simu ambaye ni mlemavu asiyeoona toka wilaya ya Temeke akitengeneza simu katika maadhimisho hayo.

Fundi simu akiingiza nyimbo katika simu kwa kutumia kompyuta yake .
PICHA KWA HISANI YA FULL SHANGWE
No comments:
Post a Comment