ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 19, 2010

Image

Mgombea Mwenza wa urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na wananchi wa Kata ya Pasua mkoani Kilimanjaro wakati akiondoka uwanja wa Sokoni baada ya kumaliza mkutano wa kampeni.(Picha na Muhidin Sufiani).

No comments: