ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 26, 2010

Image
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk Jakaya Kikwete akiongea na Bi. Suzana Musa Magufuli (katikati) ambaye ni Mama wa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo John Magufuli (kushoto), wakati Rais Kikwete alipokwenda nyumbani kwa waziri huyo kumpa pole kufuatia kifo cha binti yake Juliana Magufuli aliyefariki na kuzikwa nyumbani kwao Chato hivi karibuni. (Picha na Freddy Maro)

No comments: