
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza na vitongoji vyake, katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Magomeni, Kirumba jana .(picha kwa hisani ya GPL)
1 comment:
Mimi nimetoka Mwanza... Naishi New York... Mbona Siioni hiyo Picha? Please Saidia
Asante... KenRon - New York
Post a Comment