ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 28, 2010

Projector imepotea siku ya Uzinduzi Vijimambo

Kuna mtu amechukua Projector siku ya Uzinduzi wa Blog ya VJIMAMBO tunaomba awasiliane na Dj Luke 240 595 9874,
security camera imeonyesha aliyechukua ni nani lakini kabla hatujatoa picha yake tunaomba utupigie simu na sisi hatutamwambia mtu yeyote. 
hayo ndio yatakua makubaliano yetu,
asante kwa ushirikiano wako

No comments: