Advertisements

Friday, October 22, 2010

Uzinduzi VIJIMAMBO

Wadau wakereketwa  VIJIMAMBO wakisaidia kanywaji kwa ajili ya Uzinduzi wa VIJIMAMBO pichani ni Stev Mhina(kushoto) na Amani Moshi
Papa mkulukulu ndani ya nyumba,Mkuu Mkoa wa Washington,Seattle Katunda yupo tayari kuzindua Blog ya VIJIMAMBO Jumamosi Oct 23,2010,Mirage Hall 

No comments: