ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 21, 2010

VIJIMAMBO LAUNCH EXTRAVAGANZA

Watanzania wenzangu ninawakaribisha kwenye uzinduzi wa Blog ya VIJIMAMBO,Jumamosi,October 23,2010,Mirage Hall saa 1 usiku(7:00pm) 

naomba sana ndugu zangu,tuzingatie muda,ni aibu na fedheha Mh.Balozi akifika akute watu wawili tu.Nomba tena naomba tuzingatie muda ni bora ukiweza ufike 12:30 jioni.

1401 University Blvd,
Hyattsville,MD,20783
Mh.Balozi Mwanaidi Sinare Maajar kua mgeni rasmi
Mama Mitindo maarufu Asia Idarous kutoka Tanzania kufanya onyesho la Vivazi kwenye uzinduzi wa VIJIMAMBO
Aj Ubao na kibao chake kipya
Zuleha Juma kuimba Gospel
Saturday at 7:00pm - October 24 at 3:00am


FREE EVENT TO ATTEND | NETWORKING EVENT | H.E AMBASSADOR MWANAIDI MAAJAR GUEST OF HONOR | MUSIC | FOOD | DRINKS |COMEDY SPECIAL | FASHION SHOW | BE ON-TIME PROGRAM STARTS 7PM SHARP | KARIBUNI UZINDUZI RASMI!!!

Featured Sponsors of Vijimambo Launch Extravaganza
1. Caroline Decorations
2. Ma Winny AC Company
3. Vision One
4. Wakina- Dada/Mama DC Metro
5. Destiny Property Management
6. Dream Maids
7. Voice of America
8. Love Assited Living
9. Triple S Entertainment
10. Mt. Zion Inc.
11. Three Angles Home Health
12. Malaika Mitindo
13. IsKaJoJo Photography
14. J & P Investments Inc.
15. DMK GLOBAL
16. Fabak Fashions
17. My shopping Gene
18. Bioto Jewelry Designs
19. Effie Flowers
20. WAMATA
21. Praise Home Health & Staffing Inc.
22. J & P Entertainment
23. Praise Global Police Clearance DC MD
24. Rehana Cleaning Services
25. Metro Tires LLC
26. Evans Auto Sales
27. Masali Promo Designs
28. EWAO Printing
29. Kay Trucking n' Hauling Company
30. Kay Entertainment & Sound