
Mmoja wa viongozi wa TAMCO,Yakubu Kinyemi akiwakaribisha wageni na ndie aliyekua muongozaji wa sherehe za Eid zilizofanyika Rockville,Maryland Jumamosi Nov 20,2010.

Rais wa TAMCO Iddi Sandali akitoa salaam za Eid na kuongea machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kwenye sherehe za Eid Washington,DC.

Suleiman Saleh afisa Ubalozi ambae alikua mgeni rasmi akimuakilisha Mh.Balozi M aajarkwenye sherehe za Eid Jumamosi Nov 20,2010

Wageni rasmi na viongozi ngazi mbali mbali TAMCO wakipata U-kodak Moment.

Wageni rasmi na wageni waalikwa kwenye U-kodak moment.

Wageni mbali mbali waliohudhulia sherehe za Eid Jumamosi Nov 29,2010 zilifanyika Rockville,MD.

Wageni wakimsikiliza mgeni rasmi afisa Ubalozi,Suleiman Salehe kwenye sherehe za Eid zilizofanyika Rockville Jumamosi,Nov 20,2010.
kwa picha zaidi Bofya Read More




















































No comments:
Post a Comment