Moto Wa Flava Nite Usiku Wa Kuamkia Leo @ Mzalendo Pub Na Dj Bonny Luv & Dj Mackay


Dk Mackay akifanya vitu
kwa picha zaidi Bofya Read More

Dj Nambari wa Nchini Dj Bonny Luv akifanya vitu usiku wa flavanite

Wadau

Dj Mackay,Dj Bonny Luv akiwa katika picha ya pamoja na wadau


Wadau wakiduarika

Ni kila siku ya jumamosi ndani ya mzalendo pub utakula ngoma za ukweli kutoka kwa dj nambari wani nchini Tanzania Dj Bonny Luv na Dj Mackay
PICHA KWA HISANI YA HAKI NGOWI
No comments:
Post a Comment