![]() |
| Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali Muasisi wa TANU na CCM Mzee Omar Selemani mwenye umri zaidi ya miaka 100 aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma hivi karibuni. Rais Kikwete alikuwa mkoani Dodoma hivi karibuni ambapo alimteua na kumuapisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda. (Picha na Freddy Maro) |

No comments:
Post a Comment