Urban Tour La Diamond Ndani Ya Milton Keynes Ni Noma

Mpaka mashabiki wake wakiwa wanalia kwa kudata na nyimbo zake

Actress Linda, Baraka na Tina wakishoo luv.

Mish Ze Fyah sis akikamua

Diamond akitunzwa Mcheda na Mashabiki wake

Diamond akikamua huku akiserubuka na mashabiki wake

Dimond akila pozi na mashabiki wake

Red city wakila pozi Frank kabla ya makamuzi

Urban Pulse inapenda kuwaletea yaliyojiri ndani ya Urban Tour MILTON KEYNES.
URBAN PULSE inapenda kuwashukru wale wote waliokuja kutoa support. Show inayofuatia itafanyika 12.11.10 Croydon London
wote Mnakaribishwa
Urban Pulse Creative
PICHA KWA HISANI YA HAKI NGOWI
No comments:
Post a Comment