I am happy to report to you that, we were able to meet the deadline of submitting 9 names to the President’s Office in Dare s Salaam, to be included in the coming Special Parliament Session for Constitutional Review. The following individuals were selected based on:
- Prior involvement on Constitutional Review matters
- Be able to be in Tanzania during the Parliament session
- Gender and geographical representation from all States in the USA
- Balance in their professions
The names that made to the list are (in alphabetical order based on their first names):
- Mr. Alfred U. Nkunga, P.E - Texas
- Ms. Asha Nyang'anyi, M.Sc - Maryland
- Mr. Charles Musiba, Ph.D - Colorado
- Mr. Eustace Kaijage, Ph.D - Illinois
- Mr. Kadari Singo, M.B.A. - California
- Ms. Neema M. Johnson - Missouri
- Mr. Revocatus M. Kalege, M.B.A - Minnesota
- Ms. Sozina D. Katuli, Dr. PH - California
- Ms. Swigah Mwakipake, LLM - Tennessee
Let us wait to hear from the President’s Office in Dar es Salaam on who will make to the final list.
With Kind Regards,
Dr. Ndaga Mwakabuta,
DICOTA President
32 comments:
Mbona wengiine ni raia wa Marekani Utanzania waliukana long time, swali la kizushi , katiba yetu itaandikwaje na Watu wasio Watanzania ?
Hii Dicota inamwakilisha nani? Hata kwenye Jumuiya ya Watanzania haishiriki? Hata ubalozini haitambuliki. Fanyeni uchunguzi muone. Tunasikitika kuiona DICOTA ulisema inamwakilisha Watanzania. Hii si kweli. Imejaa ubinafsi na hata haina mchango wowote kwenye Jumuiya za Watanzania Marekani. Nawakilsha. DICOTA hatuitaki.
Congratulations team: We will support you all for what ever needed to represent the diaspora community in Tanzania Parliament.
Dr. Temba
Kazi nzuri Dr. Mwakatuba, i pray that the team will present our suggestions fully. Can we please have a forum on what they will be focusing on so we can all share ideas.
God bless USA and Tanzania.
This is.ridiculous!!. Not even one from Zanzibar!!!. How come??!
No kidding. If any of these guys have US citizenship they are ourightly disqualified. Am however curios to know what prior constitutional review experience each possess?
Tutashangaa hao mbona hatuwajuwi kabisa why wamejichaguwa ??mbona hata kwenye jumuiya hatuwaoni wakisaidia
hahaha..dah yaani mpaka muandike na elimu zenu??mmeulizwa kuandika elimu? hahah kweli wa-tz hata mkikaa nje bado tongotongo haziwatoki..Msc, Phd ni vitu vya kawaida sana na havimfanyi mtu kuwa more competent..ingekuwa hivyo basi ma-prof wote walio kwenye uongoz tz wangeifanya nchi kuwa juu sana..au tungewaweka wao kuwa ndio viongoz tu..!
kama una Msc, Phd,etc ni vizuri sana but si kitu cha kukiweka na ku-show off..tunataka kuona application ya hicho ulichonacho na si titles!!
hahahah dj Luke ila nimecheka sana aisee..maana mngekuwa huku watu wote tulio na phd ni sawa na sikumbuki mara ya mwisho kuitwa hata kwa cheo changu zaidi ya my first name.
mdau Sweden
Hawa wote waliotajwa katika Orodha hii ni raia wa Tanzania?
Hii timu ina watu ambao ni American Citizen sasa swali linakuja jee hawa watu wanawakilisha nini?
Mlioandaa hii list jee mlikuwa na vetting procedure?
Yes kama ni kuhusu tanzania nilazima uwe mtanzania na siyo yule aliye utupa uraia wa tanzania. Naamini hii ipo kwenye constitution ya tanzania. Tusibabaike na madegree kwani hata tanzania wapo wengi tu na madegree yao.
its nice kuchagua wasomi but lazima wawe Watanzania
Wabongo mnachonga mno. Hamna sera. Rasimu yenyewe inasema raisi awe na angalau degree na wewe mpuuzi unakandia.
Acha unafiki. Mtaje ni nani sio Mtanzania.
Kama nani. Thibitisha. Acha unafiki
Wewe mdau wa Sweden unaonekana huna elimu ya kotosha. Kwanini umechukulia negative kiwango cha elimu. Hakuna mtu una show of. Wewe ndio tongotongo lamgando bado lipo.
Zigezo vya Makundi havijasema mtu awe kabila gani, dini gani, mtu atoke upande gani mwa TZ.
Mdau kutoka Sweden unajidai una PhD wakati hata kuandika hujui. Ndiyo maana PhD yako haithaminiki. Umeshindwa hata kuainisha tungo halafu unasema wanakuita kwa jinalako la kwanza, you deserve it all.
Kusema ukweli hawa si watanzania. Nchi yao wanaipenda lakin, hawawezi kutuwakilisha hata kidogo...wanaweza kuchangia mawazo kama wageni tu. Na hii inaonyesha nikihasi gani watakumbana na vikwazo mbeleni kama mmoja wao atahamua kugombea nafasi yoyote ya juu serikalini.nina imani wana mawazo mazuri,wasomi ndiyo,lakini hawatakiwi kuwaongoza watanzania kwa namna yoyote ile....ni wageni kama vile Waganda,wanyarwanda,wakenya,warundi,wamarekani,wajerumani waharabu..n.k......Asanteni saana.....
Yaani Muislamu mmoja tu.
Tupilia mbali suala la uraia wa nchi mbili. Haowanaojiita watanzania kila kona ya ulimwengu wengine wamejiripua kisomali, kirundi, kikongo. Sasa huku SI kujichanganya tu. Wakienda viongozi ulaya wanajipendekeza na bendera ya Tanzania. Hawana uzalendo. Na nyie wabongo misifa munajifanya mumesoma orodha yenu hii ni ubaguzi mtupu hakuna mzanzibari hata mmoja muliemuingiza humo.
Acheni dharau kujifanya munamiliki Tanzania. Ndio maana Zanzibar wanadai nchi yao mukae na misifa yenu.
Academic credentials vs common sense
Give us summary of the issues to be presented. Do they represent views/opinion of the majority of Tanzanian living abroad? Were the opinion collected from Tanzanian community? It does not matter who goes to Dodoma and/education status. What are you guy going to say on behalf of us, post/ send the summary of your presentation to Tanzanian Community leaders of all States, DMV, New York e.tc. Coordination is important it has been lacking???? Transparency and/ fair representation and communication seems lacking too.
ulotu
Unaelewa maana ya "DIASPORA"?
Dicota ilijitangaza vizuri tu,mznz alijiunga? Je tuna waznz wangapi wanachama wa jumuiya? Mbona tuko waznz wengi lakini ni wachache wanaoshiriki kwenye jumuiya,hii ikoje? Mbona mnajitenga halafu tukiendelea mwanung'unika?
OOH YES! If I have PHD,WHY NOT,I'LL BRAG TILL MY LAST DAY OF LIVING COZ IT'S A LOT OF SACRIFICE TO GET THERE. Y DON'T U TELL US WHAT U R DOING!! IMEKUUMA,GET OVER IT OR U DIE ANGRY!!!!!
Wengi hapo juu mumezidi ushamba na midomo mirefu, mliambiwa mtume majina lakini mkakaa kimya, kwa nini hamkujitaja wenyewe?, acheni watu waende wakafanye kazi. Naunga mkono mdau aliyesema tuwe na forum. Sasa mnatakaka aende nani kwani wengine hapo na midomo yao hawawezi wakaenda Tz nakurudi kwa ajili ya tatizo la makaratasi, watu walio na uwezo wa kwenda na kurudi ni hao wenye makaratasi na citizenship. Basi kama mnabisha pelekeni majina yenu kurepresent wa Tanzania ambao hawajaukana u Tanzania. People grow up. Hongera DICOTA
Nibora hao wenye Phd zao kuliko wewe ambae unamakaratasi sasa utakwendaje kuiwakilisha Diaspora na kurudi hapa? ili utuelezee ulichokifanya hawa wanauchungu wa raia mbili na wanafaa kwa hilo na mimi nafikiri ni bora waende hao ambao wanaelewa zaidi. wewe kaa hapa utafute makaratasi yako wacha unafiki.
Kwa wale ambao ni US Citizens na wanajihusisha na siasa ya nchi ambayo they no longer belong to, needs to be investigated and prosecuted by the US government. It is imperative that, the DHS and FBI be notified. Could these people be double-agents? Waliukanusha uraia wao walipochukua kiapo cha kuwa Wamarekani. Were they drunk or sedated? Politically, they are not entitled to represent Us- based Tanzanians. I hope our great leader, the president of the United Republic of Tanzania will deem them ineligible and unqualified. Mungu Ibariki Tanzania na Watanzania (lakini siyo wale walioukana Utanzania)!
Mwweee Watanzania mbona tumekuwa hivi. Kama una uhakika kuwa mtu ni Mtanzania watafute viongozi wa DICOTA na uwape hizo information ili watolewe kwenye list. Second mliambiwa watu mtume BIOGRAPHY na maana yake unaeleza kiwango cha elimu na ujuzi wako. Majina yakiishachujwa waliobaki definitely wataget back to WATANZANIA na kukusanya mawazo yenu na mengi yamekwisha kusanywa na wanajumuiya what is needed is to take all that na hawa watu watakwenda kuyawasilisha wenyewe. Kaka Ulotu, ninaamini unaelewa kuwa maoni ya dual citizenship yamekuwa yakiwasilishwa katika jamii zetu huku Marekani, hao watakaorudishwa watakaa vikao kuweka hayo tunayoyataka kwa uwazi na jinsi gani yatawasilishwa. Tatizo ni watu mkiambiwa jiandikisheni hamjiandikishi hawa walioamua kuchukua jukumu la kutuwakilisha tena imekuwa ni kashfa!!!!!!! LIPI JEMA WAJAMENI. PLEASE SUPPORT THESE INDIVIDUALS NA LETA MAONI YAKO THROUGH YOUR LEADERS ILI ZIWAFIKIE HAWA WAWAKILISHI WETU. LETS WORK TOGETHER PEOPLE.......
duh siamini inamaana huko usa watz wa kawaida wenye elimu ya kawaida ya sekondari ila wenye busara hakuna??me nadhani vigezo vingetumika kwa waliotaka kugombea wakapambanishwa live kwa KILA mmoja kupewa nafasi ya kuongea na kuwa interview na audience na si hizi habari za kutuma CV. Si mko marekani kwenye teknolojia yote ninyi DIASPORA mnashindwa nini kuandaa mdahalo live wa hao wagombea kwa kutumia video conference na washiriki wakawa wa-tz wote wa marekani popote walipo usa wakaunganishwa kidigitali. Fanyeni mambo kama dunia ya kwanza!
mdau tandale-dsm
Kwanza hii inaonyesha jinsi gani watu wasivyofuatilia habari bali wanakurupuka kuandika maneno marefu yasiyo na tija. Hawa watu hawawakilishi Watanzania wote wanaoishi huku marekani. Diaspora ni kikundi kimoja kati ya vikundi 50 VILIVYOOMBWA KUWASILISHA MAJINA. Sasa ujiulize je wewe upo kundi gani? Je wewe ni mwanachama hai wa jumuiya yako? Je ulipeleka maelezo yako kwa Rais wa jumuiya yako ulipoona tangazo????? Kila state itapeleka ujumbe wake. Makundi hayo 50 YAMETAJWA. PLEASE REJEA BARUA ZA AWALI. KAMA WEWE NI MWANADIASPORA NA HUKUTUMA MAELEZO YAKO KALAGABAHO NDO HUNA NAFASI TENA. Haya ndo mambo ya msingi ya kujiuliza. Na kina dada amkeni hawa wajasiri waliojitokeza acheni kuwasakama toeni points zenu ili wakaziwasilishe. Dunia imebadilika sasa mpaka tuna marais wanawake Africa na Mabalozi wengi tuu. Badala ya kuquestion list hii kaa chini anza kufikiria nini unataka wakakutetee then itume hewani, at this time watu wangetegemea kuona madukuduku yenu mnayaweka wazi badala ya kupoteza muda kuongea issues zisizo na tija. Huyu mzanzibari au mtanganyika muislamu au mwanamke au mwanamme, haitotusaidia.
The most important qualification to be in this committee YA UTETEZI WAHAKI YA KUZALIWA ni kuwa MZAWA. Kwa hiyo kama hao ni wazawa wana haki ya kuwakilisha WAZAWA WA TANZANIA WAISHIO MAREKANI.
Equally I urgue them to frame the discussion as an issue of BIRTH RIGHT and NOT Dual Citizenship.
Akwanza
Post a Comment