Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Benno Ndulu akikabidhi albamu yenye toleo jipya la noti kwa Rais Jakaya Kikwete, Ikulu Dar es Salaam. Noti hizo zitaanza kutumika wiki ya kwanza ya mwezi Januari, mwakani. Kulia ni Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo. (Picha na Freddy Maro) |
No comments:
Post a Comment