TUJUMUIKE NA FAITH KATANGA KATIKA MSIBA WA MPENDWA MDOGO WAKE ULIOTOKEA TANZANIA,MWENZETU ANAPOFIWA NI WAJIBU WETU KUPEANA POLE,BASI USISITE UTAKAPOPATA NAFASI JITAHIDI UFIKE NYUMBANI KWA MFIWA,TUMPE POLE NA KUMTIA NGUVU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU KWAKE,MSHIKAMANO NA UPENDO WAKO UTAMFARIJI SANA
ADDRESS NI
9316 EDMONSTON RD,APT #1010,
GREENBELT,MD,20770
SIMU 240 350 4316 AU 202 580 4648
No comments:
Post a Comment