IBADA YA X-MAS EVE TAREHE 24/12/2O1O KUANZIA SAA 4USIKU HADI SAA 6 USIKU KATIKA KANISA LA THE WAY OF THE CROSS GOSPEL MINISTRIES,
adress ni :
3621 campus drive ,
college park MD 20740,
The sound of glorry wataimba na waimbaji wengine pia.
kwamaelezo zaidi wasiliana na :
REV:F SHIDEKO @202 367 3275
REV:J MBATTA @ 703 863 2727
Tunawakaribisheni wote kwa moyo mkunjufu tushirikiane kumwabudu mungu .
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake