Nahodha wa Timu ya Taifa Tanzania Bara (Kili Stars) Shadrack Nsajigwa akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete, Kombe la Chalenji Ikulu jijini Dar leo baada ya timu hiyo kuibuka Bingwa wa michuano ya Chalenji jana. Pembeni yake ni Mama Salma Kikwete na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Dr. Emmanuel Nchimbi.
JK akiwa katika picha ya pamoja na kikosi kizima cha Timu ya Kilimanjaro Stars Ikulu jijini Dar es Salam leo mchana.
Picha na Freddy Maro wa Ikulu
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake