Balozi Maajar pamoj na Meya wa jiji la Vallejo CA Bw Osby Davis wakifungua muziki
Balozi Maajar akipata maaelezo ya Vito vya thamani kutoka kwa Bw Yasin Kapuya
Baadhi ya wadau waliohudhuria sherehe za uhuru
Balozi Maajar pamoja na kina dada wa Kitanzania wakipata U -Kodak moment
Balozi pamoja na wadau wakiserebuka
Mheshimiwa balozi katika picha ya pamoja na familia ya mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania northern California Bw Mwesigwa
Peter Glenn kijana wa Kimarekani pamoja na mkewe Erika binti wa Kibongo nao hawakuwa nyuma katika kuserebuka(picha na maelezo na ripota wa VIJIMAMBO Professeur Mrisho)
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake