Timu ya Kilimanjaro Stars ya Tanzania Bara ikiingia Uwanjani.
Timu ya Kilimanjaro Stars ya Tanzania Bara, Jana ilifanikiwa kuingia fainali ya Kombe la Chalenji baada ya kuwaondoa mabingwa watetezi, Timu ya Taifa ya Uganda ,kwa mikwaju ya Penati 5-4.
Mchezo huo ambao ulipingwa katiaka Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam uliamuliwa kwa mikwaju ya penati baada ya kuchezwa kwa muda wa dakika 120 bila kufungana.
Makocha na Viongozi wa benchi la ufundi la Timu ya Kilimanjaro Stars wakiimba wimbo wa Taifa wa Tanzania.
Washangiliaji raia wa Uganda wakishangilia kuwapa moyo wachezaji wao kabla ya mpambao huo kuanza.
Mshambuliaji wa Timu ya Kilimanjaro Jonn Boko, akiwatoka mabeki wa timu ya Taifa ya Uganda.
Golikipa wa timu ya Kilimanjaro Stars, Juma Kaseja akiruka kuokoa penati ambayo ndio iliiwezesha Kilimanjoro Stars kutinga fainali.
Wachezaji wa Kilimanjaro Stars wakikimbia kwa furaha mara baada ya penati ya mwisho iliyowapa ushindi.
Golikipa wa timu ya Taifa ya Uganda Robert Odongkara akiwa amelala chini akilia kwa uchungu mara baada ya kufungwa penati ya mwisho na Elasto Nyoni wa Kilimanjaro Stars.
Timu ya Kilimanjaro Stars ya Tanzania Bara, Jana ilifanikiwa kuingia fainali ya Kombe la Chalenji baada ya kuwaondoa mabingwa watetezi, Timu ya Taifa ya Uganda ,kwa mikwaju ya Penati 5-4.
Mchezo huo ambao ulipingwa katiaka Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam uliamuliwa kwa mikwaju ya penati baada ya kuchezwa kwa muda wa dakika 120 bila kufungana.
Makocha na Viongozi wa benchi la ufundi la Timu ya Kilimanjaro Stars wakiimba wimbo wa Taifa wa Tanzania.
Washangiliaji raia wa Uganda wakishangilia kuwapa moyo wachezaji wao kabla ya mpambao huo kuanza.
Mshambuliaji wa Timu ya Kilimanjaro Jonn Boko, akiwatoka mabeki wa timu ya Taifa ya Uganda.
Golikipa wa timu ya Kilimanjaro Stars, Juma Kaseja akiruka kuokoa penati ambayo ndio iliiwezesha Kilimanjoro Stars kutinga fainali.
Wachezaji wa Kilimanjaro Stars wakikimbia kwa furaha mara baada ya penati ya mwisho iliyowapa ushindi.
Golikipa wa timu ya Taifa ya Uganda Robert Odongkara akiwa amelala chini akilia kwa uchungu mara baada ya kufungwa penati ya mwisho na Elasto Nyoni wa Kilimanjaro Stars.(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY)
CHANZO:GLOBAL PUBLISHERS
No comments:
Post a Comment