ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 24, 2010

Kwa mara ya kwanza katika historia,Asia Idarous kutoa Dozi ya Xmas Houston,TX Jumamosi

Mwana mitindo maarufu kutoka Tanzania Asia Idarous, atawasha moto mjini Houston pamoja na vitongoji vyake katika fashion show ya mavazi yake ya kukata na shoka Jumamosi December 25,2010.
Fashion show hiyo kabambe itaambatana na muziki mzito utakaoporomoshwa na Dj Luke kutoka DC & Dj Rex Houston.
  Kiingilio kimoja tu $10.00

Njoo ujionee vipaji na usanii katika fani ya mavazi pamoja na burudani ya muziki wa aina zote 
old schoo,Hip hop,Reggae,Bolingo,Kwaito,Chalanga,Soca Rhumba and Zouk.
 
Free Drink with Prepaid Ticket.
                       
                    Call - 713-504-4278
                                 832-541-9121
                                 832-528-7500
Njoo ujionee vipaji na usanii katika fani ya mavazi pamoja na burudani ya muziki wa aina zote 
old schoo,Hip hop,Reggae,BongoFlava,Bolingo,Kwaito,Chalanga,Soca Rhumba and Zouk.

Karibu upate ile kitu Roho inapenda

No comments: