Ujumbe wa Tanzania katika maonyesho ya Utalii ya Luxury Travel
Show yaliyofanyika Las Vegas Nevada mwishoni mwa wiki . Kutoka kushoto Suleiman
Saleh, Afisa Ubalozi wa Tanzania Washington DC, Bw.. E. Kishe, Mkurugenzi
Mtendaji wa TANAPA, Bw. Aloyce Nzuki, Mkururugenzi Mtendaji wa TTB na Bw. L.
Modesto, Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA.
Kutoka kushoto Suleiman
Saleh, Afisa Ubalozi wa Tanzania Washington DC, Bw.. E. Kishe, Mkurugenzi
Mtendaji wa TANAPA, Bw. Aloyce Nzuki, Mkururugenzi Mtendaji wa TTB na Bw. L.
Modesto, Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA
na Bw. Macon ambae amepanda Kilimanjaro mara 17
Mkurugenzi wa TANAPA Bw. Kishe akisalimiana na Mkurugenzi wa
Utalii wa Misri Bw. Osama Mohamed
pichani ni kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi Suleiman Salehe,Mkurugenzi wa Utalii wa Misri,Bw.Osama Mohamed,Mkururugenzi Mtendaji wa TTB na Bw. L.
Modesto,Bw.. E. Kishe, Mkurugenzi
Mtendaji wa TANAPA na Bw. Aloyce Nzuki.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake