Tuesday, December 14, 2010

Washington DC,leo Jumanne Dec 14,2010 imeamka na rasha rasha za snow

Barabara zinavyoonekana asubuhi hii
Juu ya Gari ashikirimu kiana sio kubwa lakini mikoa ya kati imeanguka snow ya kufa mtu
A man shovels out a car next to a van that caught fire after more than 40 centimetres of snow fell in Minneapolis on Sunday.
Hapa ni jamaa akikwangua snow karibu na Van ililoungua baada ya centimita 40 ya snow iliyoanguka Jumapili Dec 12,Minnesota na kupelekea kusitishwa safari za ndege na kuanguka kwa paa la Uwanja wa Minnesota Vickings  kwa sababu ya kuzidiwa na uzito wa snow uliokuwepo kwenye paa hilo.Angalia kideo ya paa la uwanja lilivyoanguka.
Hii ni tufani iliyoitikisa Washington,DC,mapema mwaka huu kama unavyoona kwenye picha.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake