ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 23, 2010

MISA KATOLIKI YA KISWAHI,DMV

MISA KATOLIKI YA KISWAHILI Jumapili December 26,2010 
itakayosomwa BALTIMORE 
katika kanisa la ST.EDWARD'sCATHOLIC CHURCH 
anuani :
901 POPLAR GROVE STREET
BALTIMORE.MD.21216.
Misa itaanza 
saa nane kamili mchana.
Chakula na viburudisho baada ya misa.Karibuni WOTE.
Auntie Julie.

No comments: