MISA YA KISWAHILI YA KIKATOLIKI Jumapili December 26,2010
itakayosomwa BALTIMORE
katika kanisa la ST.EDWARD'sCATHOLIC CHURCH
anuani :
901 POPLAR GROVE STREET
BALTIMORE.MD.21216.
Misa itaanza
saa nane kamili mchana.
Chakula na viburudisho baada ya misa.Karibuni WOTE.
Auntie Julie.
No comments:
Post a Comment