Friday, December 24, 2010

MISA KATOLIKI YA KISWAHILI,DMV

MISA YA KISWAHILI YA KIKATOLIKI Jumapili December 26,2010 
itakayosomwa BALTIMORE 
katika kanisa la ST.EDWARD'sCATHOLIC CHURCH 
anuani :
901 POPLAR GROVE STREET
BALTIMORE.MD.21216.
Misa itaanza 
saa nane kamili mchana.
Chakula na viburudisho baada ya misa.Karibuni WOTE.
Auntie Julie.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake