![]() |
| Mkaguzi wa bidhaa wa Shirika la Viwango nchini (TBS) Thomas Mnunguli akionesha bidhaa za betri kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) aina ya Tiger na Panasonic walizozichukua toka kwenye duka la Charles Fanuel, eneo la Manzese, Dar es Salaam ambazo watazifanyia ukaguzi kubaini kama zinakidhi viwango. Mwingine ni Ofisa Uhusiano wa TBS, Rhoida Andusamile. (Picha na Fadhili Akida). |

No comments:
Post a Comment