Wednesday, December 15, 2010

Image
Rais Jakaya Kikwete akifurahi na wajukuu wa Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Salome Kaganda mara baada ya kumuapisha Ikulu, Dar es Salaam jana. (Picha na Fadhili Akida).

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake