Rais Jakaya Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Russia nchini Tanzania Mheshimiwa Alexander Rannikh huko Ikulu tarehe 14.12.2010. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Italy nchini Tanzania Mheshimiwa Pierluigi Velardi huko Ikulu tarehe 14.12.2010. |
Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Jaji Salome Suzette Kaganda kuwa Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma huko Ikulu tarehe 14.12.2010. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha kwa mazungumzo Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu Mheshimiwa Jaji Gerard Niyungeko huko ikulu tarehe 14.12.2010. |
Picha zote na mwasiliano Ikulu
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake