Advertisements

Thursday, December 9, 2010

AMIRI Jeshi Mkuu wa Majeshi

AMIRI Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete, akikagua gwaride wakati wa maadhimisho ya miaka 49 ya Uhuru wa Tanzania Bara, yaliyofanyika jana, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Picha zaidi uk. 5, 12 na 13. (Na Yassin Kayombo).
Image
Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Jakaya Kikwete akiwapungia wananchi wakati wa maadhimisho ya Miaka 49 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. (Picha na Robert Okanda).


No comments: