Advertisements

Friday, December 4, 2015

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AMTAMBULISHA MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU KWA RAIS WA CHINA MHE. XI JINPING, JIJINI JOHANNESBURG

Rais Mstaafu wa awamu Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwa Mhe. Rais wa China Xi Jinping, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China uliofanyika leo Jijini Johannesburg. Mhe Rais Mstaafu amehudhuria Mkutano huo kama Rais Mstaafu. Picha na OMR

17 comments:

Anonymous said...

Magufuli na huyu kikwete kulikoniiiiiiiiiiii
Wa kukayaaaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

CCM
Yale Yale kula matapishi
Yao
Safari za nje zimekatazwa iwaje kikwete awepo
Shame magufuli

Anonymous said...

Kupewa umri mkubwa ukabakia na akili ndogo nako kazi.kabla ya kutoa maneno yako yasiyokuwa na maana ulifanya utafiti kujua uwepo wa Kikwete kwenye mkutano huo?Ni mara ngapi umeona maraisi wastaafu ie Mkapa,Obasanjo,Mbeki,Bill Clinton etc katika mikutano wakiwa ktk mialiko binafsi au wakiwakilisha na kugharamiwa na entities tofauti mbali na nchi zao husika?

Mr. Ally said...

All former presidents have their own status and budget and have to be respected.

Anonymous said...

Tatizo la Africa kubebana Tumechoka
Magufuli usionee wadogo hata waliokuweka madarakani washughulikie nao
Otherwise your fisadi as well
Hakuna mipaka ya kubana matumizi
Shame youuuuuuuu CCM

Anonymous said...

Mr Ally
Mnyapaa nakujuwa sana toka mitaa ya Bergen norwary
Usitete huu uozo WA CCM

Anonymous said...

Respect is earned!!

Anonymous said...

I agree!

Anonymous said...

Lakini hii ni kuonyesha kumpongeza magufuli asingeenda
Lakini kazowea tangu alipokuwa rais
Na rais WA Tanzania huwezi kulinganisha na USA au first world president
Tu masikini magufuli kaanza tungetegemea basi hata wao wakubwa wafikiri
Usiniambie eti gharama zote zimelipiwa hakuna

Anonymous said...

I love mugufuli
What he is doing now for Tanzania it's amazing
But he need support either from u nor from me
Hata kwa Watanzania wote tukibana tuanzie juuuuuuu
That's my massage
Watu wachini hawaelewi eti rais aliyepita analipiwa na wale waliomwita
Kwanini hiyo award asingepokea Tanzania na Watanzania wakamuona

Anonymous said...

Last but not least least
Magufuli like challenge
It's doesn't matter where come from
CCM or opposition
As matter it's benefit for Tanzanian

Anonymous said...

Kama anipenda Tanzania it's time for him kupata award zote Tanzania

Anonymous said...

All former presidents of TZ are bona fide representative of Tanzania, expect to see more them.

Anonymous said...

Rais mstaafu kuhudhuria sio mbaya ila tendo la kumtambulisha makamu kwa Rais wa China ni aibu kwasababu wote walio alikwa wanajulikana wao kama marais au wawakilishi. kwa hio kila atapoenda makamu itabidi mstaafu akamtambulishe ama, nafikiri makamu hajaenda peke yake ana wasaidizi ambao watamweleza nini cha kufanya

Anonymous said...

Aliyesema kuwa JK amtambulisha makamu wa rais wa TZ hasemi ukweli. Kuna itifaki ktk kila kitu na kuna mkuu wa itifaki Ikulu na Wizara ya Mambo ya Nje, wala siyo kazi ya rais mstaafu.

Anonymous said...

Nafurahi sana kwa changiaji juu
Hii imeonescha jinsi mna uchungu WA Tanzania na Mali za Tanzania
It's our time now to be honesty all of us
We need to support manguli he can't do it alone
Pls mwinyi, mkapa, kikwete
Tupunguze matumizi na ziara nje
Kwa marais wastafu itapependeza ukipokea nyumbani kwako
Siyo Kila Leo kwenye mindege jamani

Anonymous said...

Sioni tatizo la kikwete kwenda South Africa kama mwakilishi ukizingatia ana uhusiano wa karibu na raisi wa china lakini machungu ya watanzania naelewa. Tanzanians are still hurt and feel betrayed by JK. Safari 300 kaacha wagonjwa wamelala chini MOI