Waziri Wa Mambo Ya Ndani Na Mwenyekiti Wa Bodi Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Mh Shamsi Vuai Nahodha Akitoa Maelezo Juu Ya Ufumbuzi Wa Matatizo Yaliyosababisha Mgomo.
Dkt Msekela ambae ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma (kulia) Akisalimiana na Principal Wa Chuo Cha Sanaa Na Lugha Cha Chuo Kikuu Cha DODOMA hapo Jana
Prof Bagumiya Waziri Wa Mambo Ya Ndani Na Mwenyekiti Wa Bodi Ya Chuo
Kikuu Cha Dodoma Mh Shamsi Vuai Nahodha Akitoa Maelezo Juu Ya Ufumbuzi
Wa Matatizo Yaliyosababisha Mgomo.
Pichani ni Bango Ambalo lilikua likilaani Nguvu Ya Polisi Iliyotumika Likiwa Limewekwa Juu Ya Gari La Principal Wa Shule Ya Sayansi Ya Jamii Prof Mwamfupe mara baada ya mkutano kumalizika.Wakati huo huo Mkuu Wa Mkoa Wa Dodoma Wakati Akiondoka Wanafunzi Walimzomea Mkuu Huyo Wa Mkoa Kwa Kile ambacho aliruhusu Polisi kutumia nguvu na hatimaye kujeruhiwa na kuharibu mali za wanafunzi na chuo kutokana na mabomu ya machozi.
Picha zote na Mdau Lukaza Josephat na kwa niaba ya GPL
No comments:
Post a Comment