
Picha kutoka kushoto Aime, Nonda, Sadi, na Nadia wakipata U-kodak na mashabiki wengine wa soka ambao majina hayakuweza kupatikana siku TP Mazembe ilipokipiga na Inter Milan

Aliopo katikati ya mashabiki ni Sadi yote hii ilikua shamrashamra kwenye mechi hii ya kihistoria hasa kwa Bara letu

Aime na Nadia hawakua mbali kupata U-kodak na mashabiki hao

Hii picha nia Nadia,Aime na Nonda wakipata U-kodak Moment na baadhi ya mashabiki waliokuwepo kwenye mpambano huo

Nadia akiwa na shabiki wa TP Mazembe wakipata U-kodak wa nguvu

Nadia akiwa amejichanganya na mashabiki wengine waliokuja kuishangilia TP Mazembe

Nonda aliyesimama akiashiria jambo na aliyekaa ni Sadi
No comments:
Post a Comment