ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 17, 2010

WAPAMABAJI MAARUFU DURHAM,NC

Kushoto ni Mariam Kalala Nyang'oro akiwa na Dada yake Alu Kalala Nyang;oro ambao ndio wapambaji maarufu Durham,NC.

KWA UPAMBAJI WA AINA ZOTE
BASI USISITE,PIGA SIMU,Dada Alu 919 451 3084 na Dada Mariam ni 919 768 2262 BEI NI NAFUU NA WANAENDA NA MUDA UKISEMA SAA 3 BASI UJUE SAA 2:30 WAPO UKUMBINI,WAJARIBU LEO NA UTAJIONEA MWENYEWE MAPAMBO YA KISASA NA YANAYOENDA NA WAKATI NI SIMU MOJA TU NA SHUGHULI YAKO ITAPAMBWA IPAMBIKE
Dada Mariam akipamba shughuli mapambo ya kuadhimisha miaka 49 ya UHURU Durham,NC
Alma Nyang'oro akiwa kazini
Monica Nyang'oro akimsaidia Mama yake kupamba

No comments: