Pamoja na Salamu hizi Watanzania Wakatoliki wanaoishi Maryland, Washington DC, Virgina na Maeneo ya Karibu watakuwa na Misa Takatifu Kuadhimisha Noeli na Mwaka Mpya itakayofanyika kwa Kiswahili. Mahali:- St. Edward Roman Catholic Church 901 Poplar Grove St. Baltimore, MD 21216 Tarehe na Muda:- Jumapili, Desemba 26, 2010 Saa 8:00 Mchana. Kwa Taarifa Zaidi:- Padri Wolfugang Pisa 1-202-529-2188 Or 1-202-529-3211 Ext. 112 Padri Shao 443-827-9741 Baraka Daudi 1-301-792-8562 Happiness Marunda 1-301-461-6030 Japo Ibada itaongozwa Kikatoliki Watanzania wote na Ndugu na Marafiki na Wote wenye Mapenzi Mema wanakaribishwa kujiunga nasi. Baada ya Ibada tunakaribishwa kujumuika kwenye ukumbi wa Parokia ambapo kutakuwa na vyakula na viburudisho mbali mbali. DJ natumaini umejiweka Sawa. Usisahau vibao vya Dr. Remmy Ongala na vinginevyo. TAFADHALI WAPE TAARIFA HII RAFIKI ZAKO. KARIBU KARIBUNI SANA |
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake