Friday, December 24, 2010

Image
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akivaa mabuti kujiandaa kuingia shambani kupanda mahindi huku mjukuu wake, Ivan Wimbo (kushoto) akimuangalia. Waziri Mkuu yupo kijijini kwao Kibaoni mkoani Rukwa kwa mapumziko ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu )

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake