Kuna chumba cha kupanga huko SW-Washington DC,kwa bei ya $450.00 kwa mwezi katika apartment ya vyumba viwili,bei hii ni pamoja na maji,umeme.Eneo lina ulinzi mzuri wa polisi na usafiri wa basi kwenda kokote upo nje ya gate tu.
Kwa mwenye kuhitaji haya ni masharti.
LAZIMA AWE MWAMINIFU KWA MALIPO.
AWE NA KITANDA CHAKE NA SI MAKOCHI
KAMA ATAKUWA TAYARI KULIPIA NA KUINGIA MWEZI UJAO,APIGE SIMU 3017687965
AWE NA WADHAMINI WAWILI WANAO MJUA VIZURI.
1 comment:
mmmmmmmm jamani hayo masharti utafikiri wenye nyumba wamagomeni.hiyo ni kutafuta room mate tu ingekuwa kazi hapo balaa
Post a Comment