
Jamaa aliiba tinga tinga la kukwangulia snow na kukimbizana na polisi kwenye mitaa takribani saa mbili siku ya Jumatano mjini Toronto,Canada na kusababisha ajali iliyouwa Afisa Polisi na kubamiza magari ya watu mitaani likiwemo gari la Polisi.(picha kwa hisani ya CNN)
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake